Chagua Namna Yakulipia
Namna ya kulipia kwa Ezypesa
Piga *150*02#
Chagua namba (4) Lipa Bili
Chagua (5) Malipo ya Serekali
Chagua (1) Malipo ya Serekali ZNZ
Chagua (2) Zanmalipo
Ingiza Control Namba
Bonyeza ok kukubali malipo au cancel kukataa
Namna ya kulipia kwa PBZBank
Fika tawi lolote la pbz au wakala wa pbz na peleka control namba yako kwa ajili ya malipo